Mapungufu ya mwanaume


 • 22 Pin SATA Mwanaume na Mwanamke kushoto Angle 2 inches
 • 22 Pin SATA Mwanaume na Mwanamke kushoto Angle 2 inches
 • *?ULIYE NAE MSHIKILIE HAKUNA ALIYEKAMILIKA*
 • Majukumu ya mke na mume ndoani
 • JINSI YA KUMTULIZA MWANAUME KICHECHE
 • 22 Pin SATA Mwanaume na Mwanamke kushoto Angle 2 inches

  Tunoi Mwandishi Msaidizi wa Sheria, Kenya Law Baraza la Kitaifa la Kuripoti Sheria kwa jina la kimaarufu Kenya Law linatambua matumainio ya wakenya kuwa na serikali ambayo ina maadili ya kuzingatia haki za kibinaadam, usawa, uhuru, demokrasia, haki ya wananchi na kuzingatiwa kwa sheria. Kufuatia haya, Kenya Law imejitambulisha kama kituo kinachoongoza katika kuwezesha raia kupata habari au nakala rasmi za kisheria zinazoeleweka, kwa wakati unaofaa na katika mifumo ambayo inawajumuisha raia wote.

  Kama kitengo cha utafiti wa kisheria, Kenya Law inawajibika kikatiba kuhakikisha ya kwamba haki ya raia ya kupata habari rasmi za kisheria inatekelezwa. Kwa kutekeleza wajibu huo, Kenya Law inachangia katika ustawi wa jamii na utawala bora wa kisheria kupitia kupatikana kwa urahisi kwa sheria na kuelewa kwa kina sheria za bunge, maamuzi ya mahakama na mandhari za kisheria zinazohusiana na wananchi katika nyanja mbali mbali za maisha yao.

  Kufuatia haya Kenya Law , ikishirikiana na Languages Africa , imeanzisha mpango wa kutafsiri muhtasari wa nakala rasmi za kisheria, ikianza na maamuzi ya mahakama, kutoka lugha ya Kiingereza hadi lugha ya Kiswahili ambayo kwa mujibu wa katiba ni lugha rasmi ya kitaifa. Mojawapo ya changamoto tunayokabiliana nayo katika mpango huu ni kupata tafsiri mwafaka ya maneno, mandhari na misemo sugu ya kisheria. Ili kurahisisha kazi yetu, tungependa kujumuisha raia katika kuchangia kazi ya utafsiri.

  Ifuatayo ni orodha ya maneno, mandhari na misemo sugu ya kisheria na tafsiri yetu. Tungependa kujua kutoka kwako ikiwa tafsiri yetu ni kamili. Kuchangia kwako kutasaidia kutukuza lugha ya taifa na pia kueleweka kwa sheria na raia wote wa Kenya. Katika jaribio au pendekezo lako la kutafsiri, tafadhali zingatia umuhimu wa kujiepusha na misamiati sugu ya Kiswahili na badala yake tumia lugha nyepesi inayowasilisha maana ya maneno au misemo inayotafsiriwa.

  Jumuika nasi na uchangie kwa kujisajili katika mtandao huu au kunukuu maoni yako chini ya ukurasa huu. English Version: Kenya Law recognizes the aspirations of Kenyans for a government based on the essential values of human rights, equality, freedom, democracy, social justice and the rule of law.

  Pursuant to this, Kenya Law has established itself as a leading legal resource centre by ensuring that it provides credible, comprehensible and timely legal information that is open and accessible to all. As a leading legal resource frontier, Kenya Law is constitutionally obligated to ensure that the right to access to legal information is guaranteed, hence serving the greater needs of society and good governance through easy access to laws of Kenya, judicial opinions and other pertinent issues of public interest.

  Pursuant to this, Kenya Law in collaboration with Languages Africa , has commenced the exercise of translating the case summaries of judicial opinions, from English to Swahili, which is the national language as stipulated in the Constitution.

  One of the major challenges we are facing in this exercise is to establish the standard translation of legal words and phrases. We would like to involve the public to participate in this exercise so as come up with an acceptable and standardized glossary of legal terms. The glossary below contains some of the English-Swahili legal words, terms and phrases already compiled. We would like to get your views on whether our translations of these words are correct.

  Your involvement and participation would assist in embracing our national language and help in promoting the knowledge of law to all citizens of Kenya. In your attempt or interest to translate, please avoid as much as possible complex phrases and instead substitute them with easy Swahili phrases or words that clearly express the meaning of the words, terms or phrases being translated.

  Join us and contribute in developing our glossary of English-Swahili terms by registering and submitting your comments on this page.

  22 Pin SATA Mwanaume na Mwanamke kushoto Angle 2 inches

  Type Here to Get Search Results! Ndoa ndio njia pekee ya kujenga familia, ndoa ndio njia halali ambayo binadamu yeyote anaruhusiwa kutimiza haja zake kimwili tofauti na hapo…. Kumekuwa na migongano mingi na mizozo isiyo kwisha katika maisha ya ndoa.

  Leo ndoa imeonekana kama utumwa, mzigo au kubebeshwa msalaba, na sasa imekuwa kawaida watu kufunga ndoa saa sita mchana kufika saa 12 jioni ndoa imevunjika. Tena jamii yetu ya sasa iliyomomonyoka maadili na kuingiliwa na utamaduni wa kimagharibi ndio kunachangia zaidi migogoro na mivutano katika ndoa. Kumekuwa na mada nyingi humu zinazohusu ndoa, wengine kuumizwa katika ndoa, wengine kusalitiwa, kupigana mpaka kutoana manundu, wengine hata kuana na wengine kuachana kabisa.

  Ndio maana nimeona nilete mada hii mezani tuijadili kwa mapana pamoja. Kwa kuanza kwangu kuchangia katika mada hii nitajikita kuelezea majukumu ya mke kwa mume wake na majukum ya mume kwa mke wake.

  Kwa sababu kila mtu anayeingia katika mkataba wa ndoa, anaingia katika mkataba huo akiwa na matatizo yake binafsi na kiasi fulani cha ujinga wake. Ili ndoa iweze kustawi na kudumu lazima kila mwanandoa ajue wajibu na majukum yake.

  Na hizi ndio njia pekee za kuimarisha na kustawisha ndoa na kuwa ya furaha wakati wote. Nikianza na majukumu ya mke kwa mume wake: 1 Kazi ya mke ni kumtunza na kumlea mume. Najua hii si kazi rahisi kwa wanawake wengi, jukumu hili linahitaji busara, hekima na mbinu nyingi. Unatakiwa uwe mpole na adabu unapozungumza na mume wako, usizungumze nae kwa ukali, usimtukane, uwe msikivu kwake wakati wote.

  Tena usithubuti kumwita mume wako majina machafu au majina ya utani asiyoyapenda. Mumeo anapokuja nyumbani, jaribu kutabasam na kumsalimia kwa uchangamfu. Sio akifika umefura kama umemeza chura. Hapo unampa nafasi ya kuchepuka tu, akafurahie nyumba ndogo maana akifika mlangoni tu ameishaitwa majina 40 kidogo tena matamu, anapokelewa kwa mabusu na mahaba ya hali juu, kisha anavulishwa kiatu na nguo na kutengewa maji ya moto ya kuoga.

  Mwisho wa siku anaamia nyumba ndogo we unabaki unalalama tu mme wangu kalishwa libwata wapi kaa hapo. Lakini kuna baadhi ya wanawake wao kutwa malalamiko hasa yanayolenga maisha ya kipato cha mume na watu wengine.

  Muda wote mbona Mimi unajanunulia hiki, mbona yule ana hiki, tena analalamika bila kujali uwezo wa mume. Kila mtu anayo kazi na kazi zimetofautiana, na kila kazi ina hadha yake. Kama mume wako ni Mwalimu, daktari, dereva, mhandisi, fundi ujenzi, fundi makanika, muokota makopo n. Mwalimu anatumia muda wake mrefu kutayarisha masomo, kusahihisha kazi za wanafunzi. Fundi makanika, kutwa nzima anachezea mafuta machafu na grisi, na wafanyakazi wengine hali kadhalika. Shida inakuja mwanamke anataka mume awe nyumbani mapema na matatizo kwa wale wanaoishi Dar foleni, basi mume akifika nyumbani tu basi mke anamudandia ulikuwa kwa mahawara wako na maneno mengine ya maudhi.

  Bahati mbaya sana kuna wengine wanakuwa sio waaminifu kwenye ndoa zao kutokana na kazi ya mume kwa mfano km madereva wa masafa marefu dah! Ngoja niachie hapo lakini huo nimetolea mfano tu madereva msije mkanitoa nyongo bure.

  Tabia ya kumwazia mwenzako vibaya ni tabia mbaya sana tena yenye madhara makubwa. Bahati mbaya wanawake wengi wana ungojwa huu. Si vibaya kumfatilia mume wako lakini tabia hii isivuke mipaka. Ukiona mwanamke mwenzako kamchangamkia mume wako au kumsalimu tu basi ni hawara yake, akitoa msaada wowote kwa mwanamke yeyote hata kama ni mjane, unasema sio bure kuna namna hapa unafura, Akimpa lifti mwanamke yoyote hata kama ni bibi kizee utasikia siku hizi unachukua mpaka vibibi Mimi sikuridhishi?

  Mwanamke yoyote akimsifia mume wako jamani ana roho nzuri, mkarimu na mpole basi inakuwa tabu kwa mumeo siku hiyo apakaliki ndani. Ukisikia simu ya mumeo inaita unakimbia kwenda kusikiliza anaongea na nani, meseji ikiingia unataka uwe wa kwanza kusoma. Kila saa mume anakaguliwa. Kwa tabia kama hizi huifanya nyumba kuwa jehanamu kwa mume. Nyumbani panakuwa pachungu kuishi. Wanaume wengi wanaamini wanawake awawezi kutunza siri.

  Ni kweli wanawake wengi wanapenda kutoa siri za ndani sana na kupeleka kwa marafiki na majirani. Japo wanawake wengi wanapenda kujua siri za mume wake, lakini wanaume hawako tayari kuwambia siri zao kila kitu.

  Unapotaka kujua siri za mume wako jifunze kutunza siri. Sifa nyingine kwa ufupi, kubali uongozi wa mume wako hata kama una PhD 3, una mamlaka makubwa serikalini usije kuyaleta kwa mumeo, hayo mamlaka yako yaishie getini. Uwe safi na Mrembo muda wote huwapo nyumbani sio kujiachia tu, na wengine mawingi kichwani mpaka yanatoa harafu, jumlisha na kikwapa mume lazima akimbie tu.

  Unatakiwa umrizishe mume wako na si wazazi wako. Uwe mwelevu na mvumilivu pale kipato kinapoyumba. Epuka kushiriki kupiga umbea. Kuna sifa nyingi lakini ngoja niwaachie wengine muendeleze.

  Kwa upande wa Mume: 1 Mume ni mlinzi na mlezi familia. Wajibu mkubwa wa mwanaume katika ndoa ni kulea na kutunza familia Kichwa cha familia. Kwa ufupi. Mke wako kabla ya kumuo alikuwa anafaidi mapenzi toka kwa wazazi wake, sasa ameamua kuingia katika mkataba wa ndoa na wewe, kuishi maisha yake yote basi mpende sana. Kumuoa mwanamke sio kumuajiri kama mfanyakazi, bali ni kumchagua mwenza na rafiki ambaye utaishi naye katika maisha yako yaliyosalia.

  Sifa zingine kwa ufupi: Mtumze mke wako, usipomtunza usije kulauumu kutunziwa na wanaume wa mjini. Kuwa mfariji na kumliwaza mke wako kila wakati unapopata nafasi. Epuke kutafuta mapungufu kwa mke wako. Epuka kusikiliza maneno ya pembeni. Usitamani wanawake wengine. Uwe na shukrani kwa mkeo. Na sifa nyingine nyingi. Lakini sifa kubwa kuliko zote: Kwa imani ya dini zetu mumtangulize Mungu kila wakati ombeni na mumlilia kwa ajili ya ndoa yenu, hakuna mtu atakayefurahi mkiishi kwa amani na mumeo au mkeo, wataanzisha fitina na kuwaendea hata kwa sagoma muachane.

  Lakini wanaomwamini Mungu hayatawapata kamwe mtazidi kuimarisha zaidi penzi lenu na kuwa la furaha.

  *?ULIYE NAE MSHIKILIE HAKUNA ALIYEKAMILIKA*

  Kila saa mume anakaguliwa. Kwa tabia kama hizi huifanya nyumba kuwa jehanamu kwa mume.

  Majukumu ya mke na mume ndoani

  Nyumbani panakuwa pachungu kuishi. Wanaume wengi wanaamini wanawake awawezi kutunza siri. Ni kweli wanawake wengi wanapenda kutoa siri za ndani sana na kupeleka kwa marafiki na majirani.

  Japo wanawake wengi wanapenda kujua siri za mume wake, lakini wanaume hawako tayari kuwambia siri zao kila kitu. Unapotaka kujua siri za mume wako jifunze kutunza siri. Sifa nyingine kwa ufupi, kubali uongozi wa mume wako hata kama una PhD 3, una mamlaka makubwa serikalini usije kuyaleta kwa mumeo, hayo mamlaka yako yaishie getini. Uwe safi na Mrembo muda wote huwapo nyumbani sio kujiachia tu, na wengine mawingi kichwani mpaka yanatoa harafu, jumlisha na kikwapa mume lazima akimbie tu.

  Unatakiwa umrizishe mume wako na si wazazi wako. Uwe mwelevu na mvumilivu pale kipato kinapoyumba. Epuka kushiriki kupiga umbea. Kuna sifa nyingi lakini ngoja niwaachie wengine muendeleze. Kwa upande wa Mume: 1 Mume ni mlinzi na mlezi familia. Wajibu mkubwa wa mwanaume katika ndoa ni kulea na kutunza familia Kichwa cha familia. Kwa ufupi. Mke wako kabla ya kumuo alikuwa anafaidi mapenzi toka kwa wazazi wake, sasa ameamua kuingia katika mkataba wa ndoa na wewe, kuishi maisha yake yote basi mpende sana.

  Kumuoa mwanamke sio kumuajiri kama mfanyakazi, bali ni kumchagua mwenza na rafiki ambaye utaishi naye katika maisha yako yaliyosalia. Sifa zingine kwa ufupi: Mtumze mke wako, usipomtunza usije kulauumu kutunziwa na wanaume wa mjini. Kuwa mfariji na kumliwaza mke wako kila wakati unapopata nafasi.

  JINSI YA KUMTULIZA MWANAUME KICHECHE

  Atatulia tu. Mikononi mwako??? Shost, kumbuka kuwa unatakiwa kumbembeleza mumeo kwa njia yoyote mpaka atulie. Ingekuwa anauzwa na bei yake inajulikana, kila mtu angekuwa naye. Angetumia jeuri ya fedha kumpata anayemtaka upo? Kama wewe unaye wako, tena bahati nzuri mmefunga ndoa, hakikisha unamtuliza ili ufurahie maisha yako ya kimapenzi.?????

  Kwanza kabisa, unapoona mwanaume wako amekuwa kiguu na njia, yaani hatulii, tafuta sababu zinazomfanya awe hivyo. Je, sababu ni wewe mwenyewe? Una wivu sana, una mdomo mchafu, kiburi, huelekei anavyokuelekeza?

  Labda una roho mbaya kwa ndugu zake. Tazama mambo hayo. Usikae kimya wala usimwogope. Kuchangia kwako kutasaidia kutukuza lugha ya taifa na pia kueleweka kwa sheria na raia wote wa Kenya.

  Katika jaribio au pendekezo lako la kutafsiri, tafadhali zingatia umuhimu wa kujiepusha na misamiati sugu ya Kiswahili na badala yake tumia lugha nyepesi inayowasilisha maana ya maneno au misemo inayotafsiriwa. Jumuika nasi na uchangie kwa kujisajili katika mtandao huu au kunukuu maoni yako chini ya ukurasa huu. English Version: Kenya Law recognizes the aspirations of Kenyans for a government based on the essential values of human rights, equality, freedom, democracy, social justice and the rule of law.

  Pursuant to this, Kenya Law has established itself as a leading legal resource centre by ensuring that it provides credible, comprehensible and timely legal information that is open and accessible to all.

  As a leading legal resource frontier, Kenya Law is constitutionally obligated to ensure that the right to access to legal information is guaranteed, hence serving the greater needs of society and good governance through easy access to laws of Kenya, judicial opinions and other pertinent issues of public interest.

  Pursuant to this, Kenya Law in collaboration with Languages Africahas commenced the exercise of translating the case summaries of judicial opinions, from English to Swahili, which is the national language as stipulated in the Constitution.


  thoughts on “Mapungufu ya mwanaume

  • 24.08.2021 at 02:19
   Permalink

   Excuse for that I interfere � To me this situation is familiar. Let's discuss.

   Reply
  • 29.08.2021 at 09:03
   Permalink

   I apologise, but, in my opinion, you are not right.

   Reply
  • 30.08.2021 at 11:03
   Permalink

   Between us speaking, I recommend to you to look in google.com

   Reply

  Leave a Reply

  Your email address will not be published. Required fields are marked *